Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2017
Picha
Ukeketaji hauna nafasi katika jamii. Ni tamaduni n'a Milan ambazo zimepitwa n'a wakati. Tukinge jamaa na marafiki kutoka kwa dhana hii potofu. Kila mmoja ana haki ya kuishi maisha bora. Kauli ya mwaka huu kuhusu Ukeketaji ni............-ukiukaji wa haki za binadamu. Mtoto huyu kutoka Ethiopia alikeketwa akiwa n'a miaka 6/unicef   akiwa na miaka 6 kulingana na UNICEF