Huku idadi ya watu ikizidi kuongezeka kwa kasi nchini Kenya,serikali imezidua kampeini kuelimisha wananchi umuhimu wa kupanga uzazi.
Kulingana na takwimu za wizara ya mipango na maendeleo ya kitaifa idadi ya wakenya imefikia zaidi ya millioni 40 huku ikitarajiwa kuongeza kwa haraka, endapo mikakati ya dharura haitachukuliwa.
Mbinu tofauti zinatumiwa kueneza habari za uzazi mpango.Kupitia runinga,radio na pia nyimbo.
Hii huenda ikawav chombo muhimu cha kupambana na tishio la iddadi ya watu.
Kuna aina tofauti za uzazi mpango pia ambazo wananchi wanaraiwa kuzitumia kwa manufaa yao na pia taifa kwa ujumla.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni