Mpango mpya kuboresha huduma za uzazi wa kupanga baada ya kujifungua mimba: WHO Unyonyeshaji mtoto baada ya kujifungua ni mojawapo ya njia za uzazi wa mpango- WHO Shirika la Afya Duniani, WHO, limezindua mpango mpya wa kuboresha upatikanaji wa huduma za uzazi wa kupanga kwa akina mama katika miezi 12 ya kwanza baada ya kujifungua, ambao unawalenga wahudumu wa afya na watunga sera. Kwa mujibu wa WHO, mimba zinazokaribiana sana au zisizotarajiwa ni tishio la kiafya kwa mama na mtoto, na kwamba kuweka pengo la angaa miaka miwili kabla ya mimba nyingine kunaweza kuepusha asilimia 10 ya vifo vya utotoni na takriban kuepusha kifo kimoja kati ya vitano miongoni mwa watoto wenye umri kati ya mwaka mmoja had...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2013