Tuna uwezo wa kudhibiti saratani: WHO Tunapo adhimisha siku ya saratani,ugonjwa huu enaenea kwa kasi,lakini jambo la kufurahisha ni kuwa unaweza kudhibitiwa. Maadhimisho ya mwaka huu yanaangazia mbinu zinazotumiwa na shirika la afya ulimwenguni, WHO kupunguza mzigo wa ugonjwa huo unaosababisha vifo vya watu Milioni Nane duniani kote kila mwaka. WHO inasema kuna nyendo thabiti duniani zinazochochea ongezeko la visa vya saratani hususan kwenye nchi za vipato vya kati na chini ikiwemo uzee, ukuaji holela wa miji na mifumo ya maisha isiyo ya kiafya. Hata hivyo WHO kupitia ujumbe wa mwaka huu Hauzidi uwezo wetu, inasema jitiha...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2015