breastfeeding week
maziwa ya mama ndicho chanzo bora zaidi cha lishe kwa watoto wachanga,hata hivyo kuna badhi ya akina mama ambao hawapendi kamwe kuwanyonyesha watoto wao kwa sababu za kutaka kuhifadhi umbo la titi. Lakini mashirika ya kiafya yanaendelea kuwahimiza akina mama kuwanyonyesha watoto ili kuepuka maradhi na kumpa moto afya bora . Pia ni muhimu kwa akina mama ili kuepuka maradhi kama vile saratani ya titi au maradhi mengine kama vile msongo wa mawazo ambao hupata akina mama wengi baada ya kujifungia. Kulinga na utafiti wa WHO ambayo imetolewa kwa ajili ya wiki ya kunyonyesha duniani , ni nchi chache tu ambazo hutekeleza mfumo wa kimataifa, unaolenga kuzuia matangazo ya lishe mbadala kwa watoto. Akina mama ambao hufanya kazi hasa katika mashirika tofauti huwa na ungumu wa kupata muda wa kunyonyesha ,jambo ambalo huwachochea akina mama kununua na kuwapa watoto wao vyakula vya mikebe. Isitoshe,maziwa ya mama ni muhimu zaidi kumj...