Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2016

Saratani ya tumbo

Aliyekuwa mtangazaji mashuhuli wa kituo change habari cha Royal Media Waweru Mburu ameaga dunia. Waweru amefariki baadaya ya kuugua saratani ya tumbo. Alitumika kwenye Radio Citizen kwa miaka zaidi ya kumi na tano, huku akiwa na umaarufu kufuatia kipindi chake cha yaliyotendeka. Kabla yakufa kwake hiyo jana jioni, Waweru alitangaza nia yake ya kuwania kiti cha kisiasa katika eneo la maragua, jimbo la Murang'a.  saratani ya  tumbo ni saratani inayotokea katika mfuko was chakula unaosiaga  na kutunza chakula kwa muda. Saratani hii hutokea  katika tezi za gastric gland. Kulingana  na takwimu za afya,saratani hii inatokea sana katika nchi za Japani na China Kinachosababisha saratani ya tumbo ? Wataalamu wa afya hawana uhakika nini husababisha saratani hii.Hata hivyo, Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya chakula kuchomwa, chenye chumvi nyingi au kilichohifadhiwa kwenye chumvi nyingi na saratani ya tumbo..  saratani ya tumbo  imepungua sana ha...