Alhamisi, 1 Desemba 2016
Aids vaccine
Leo ni siku ya Ukimwi Duniani.
Maadhimisho haya yanakuja wakati ufanisi kukabiliana na janga la Ukimwi ukichukua mwelekeo mwafaka.
Hii ni kufuatia tangazo kuwa Afrika Kusini inafanya majaribio chanjo mpya dhidi ya virusi vinavosababisha Ukimwi.
Endapo itapata mafanikio, chanjo Hii itawezesha waadhiriwa wa ugonjwa huu, kukabiliana na makali ya virusi (VVU).
Chanjo mpya dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi itaanza kufanyiwa majaribio nchini Afrika Kusini Jumatano wiki hii.
Wanasayansi matumaini majaribio hayo, yanayojulikana kama HVTN 702, yatazinduliwa kwa kuwatumia wanaume na wanawake 5,400 ambao wanaojamiiana kutoka maeneo 15 nchini Afrika Kusini.Wagonjwa watakaoshiriki katika chanson hiyo wanapashwa kuwa n'a umri wa kati ya miaka 18 na 35.
Hata hivyo kuna watu wanao sema kuwa chanson hii ina faida na hasara pia.
Itawasaidia wagonjwa wa Ukimwi huku wengine wakiamua kufanya ngono kihorera.
Pia Hii chanjo itakuwa na madhara kwa mwili kama vile;
Vipele , kizunguzungu na maumivu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni