Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2018

Ukapera ni sawa na ulemavu

Ukapera ni sawa na ulemavu Tangazo la shirika la afya duniani(WHO) kuwa ukapera ni ulemavu,limewakera makapera wengi barani afrika hususan Kenya. Shirika la afya duniani ,mnamo Oktoba 2016 litangaza lasmi , kwamba kuwa kapera ni sawa na ulemavu. Tangazo hilo lenye utata linasema kwamba wanaume na wanawake ambao wanatamani kuwa na familia zao na watoto lakini wanashindwa kutafuta wachumba wanachukuliwa kuwa walemavu. Tamko hili limegonga vichwa vya habari huku viliwashtua watu wengi hasa wasio na wenza duniani. Baadhi ya wakenya wanasema kuwa hali ngumu ya maisha imechangia kukosa wachumba .Huku idadi ya watu ikiongezeka na wnawake wakiwa wengi kuliko wanaume. Ingawa tamaduni na mila za kiafrika zinamtazamo sawa ;kuwa katika umri Fulani ni sharti mtu awe kwenye ndoa.   kuishi bila mpenzi si sawa na ulemavu hapa nchini,hayo ni baadhi ya maoni ya wakenya kuhusu ripori hii. Kuna wale wanapenda kuishi maisha bila wenza, jambo ambalokwao ni kawaida. Washir...