Ukapera ni sawa na ulemavu
Tangazo la shirika la afya duniani(WHO) kuwa ukapera ni
ulemavu,limewakera makapera wengi barani afrika hususan Kenya.
Shirika la afya duniani ,mnamo Oktoba 2016 litangaza lasmi ,
kwamba kuwa kapera ni sawa na ulemavu.
Tangazo hilo lenye utata linasema kwamba wanaume na wanawake
ambao wanatamani kuwa na familia zao na watoto lakini wanashindwa kutafuta
wachumba wanachukuliwa kuwa walemavu.
Tamko hili limegonga vichwa vya habari huku viliwashtua watu wengi hasa wasio na wenza duniani.
Tamko hili limegonga vichwa vya habari huku viliwashtua watu wengi hasa wasio na wenza duniani.
Baadhi ya wakenya wanasema kuwa hali ngumu ya maisha
imechangia kukosa wachumba .Huku idadi ya watu ikiongezeka na wnawake wakiwa
wengi kuliko wanaume.
Ingawa tamaduni na mila za kiafrika zinamtazamo sawa ;kuwa
katika umri Fulani ni sharti mtu awe kwenye ndoa.
kuishi bila mpenzi si
sawa na ulemavu hapa nchini,hayo ni baadhi ya maoni ya wakenya kuhusu ripori
hii.
Kuna wale wanapenda kuishi maisha bila wenza, jambo
ambalokwao ni kawaida.
Washirika wa roho za upweke Duniani kote waliumia sana na tangazo hilo,lakini wakasema hayo ni maoni tu.
WHO wanaamini kila mwanadamu ana haki ya kuzaa.Chakushangaza baadhi ya watu wanashidwa kutafuta watu wakuwa nao juu ya shughuli za maisha.
Ni vyema shirika hilo likajishughulisha na afya na kuachana na utafiti wa maisha ya watu binafsi,akasema Mwangi Kimani aliyekasiriswa na swala hilo.
Hata hivyo imebainika kuwa wenginna wapenzi kwasababu ya maamuzi huku wengine hawana wapenzi kwasababu wanashindwa kutafuta wapenzi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni