Shirika la Afyan duniani linafanya kikao hii leo mjini Geneva kujadili maswala ya COVID 19 WHO assembly Mkutano huu wa siku mbili unaendelea huku Taiwan ikipinga hatua ya kutengwa katika vikao vya baraza la shirika la afya duniani WHO huku ikisema itakuwa ni hasara kutohudhuria kikao hiki ikizingatiwa kuwa imefanikisha juhudi zake za kukabiliana na virusi vya Corona. Taiwan na nchi nyingine kadhaa zimelitaka shirika hilo kuialika katika mkutano huo unaofanyika moja kwa moja kupitia mitandao. Haya yanajili huku uhusiano baina ya Uchina na marekani ukiendelea kuzorota. Hapo awali Marekani ambaye ni muhisani mkuu wa WHO ilitangaza kusimamisha msaada wake wa kifedha huku nchi hiyo ikilaumu Shirika hilo kwa kushirikiana na kuipendelea Uchina katika harakati zake za kukabiliana na janga la COVID 19. Waziri wa Afya na Ustawi wa Taiwan, Chen Shih-Chung amenukuliwa akilaumu hatua ya kutoshirikishwa kwenye baraza la afya la umoja wamataifa. Taiwan ...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2020
Antonio Guerres -Corona
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Corona au COVID-19. Huku siku ya uhuru wa vyombo vya habari ikiadhimishwa tarehe 3 Mei kote duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema wanahabari na wafanyakazi katika vyombo vya habari wana majukumu muhimu katika kusaidia ulimwenguni kusambaza habari ipasavyo kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19. Alisema ni vema serikali kuwapatia nafasi na uhuru waandishi kutekeleza majukumu yao bila hofu,kuingiliwa au kutishiwa. Siku ya uhuru was waandishi was habari huadhimishwa kila mwaka; maudhui ya mwaka huu ikiwa,uandishi wa habari bila uoga wala upendeleo,. Tangu mlipuko was COVID 19 wanahabari wamejipata pambaya n'a selikali tofauti kufuatia j'insiste wanavyo ripoti maambukizi ya Corona. Hivi majuzi Tanzania ilistumu vikali habari kuwa kuna idadi kubwa ya maambukizi nchini humo. Serikali ya Kenya piano ili kashfu taarifa kuwa idadi ya maambukizi ni zaidi kuliko inavyotangazwa n'a selikali. Wanahabari pia wanahitaji kulindwa wanapoen...