Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2024

siku ya usafi na hedhi Kenya

Picha
  Wasichana na akina mama wengi nchini Kenya wanakubwa na changamoto ya kupata taulo za hedhi huku wakijihuzisha na ngono ili kupata hela la kununua vifaa vya kustili walati wa hedhi.Kufuatia matumishi ya vifaa visivyo safi wengi wameambukishwa magonjwa huku wakiadhirika kiafya hasa afya ya uzazi.Hiii imepelekea mashirika tofauti kutafuta mbinu ya kukabiliana na hali hii. Siku ya Usafi wa Hedhi inapoadhimishwa duniani kote, Wizara ya Afya nchini Kenya inathibitisha dhamira yake ya kuimarisha afya ya hedhi na usafi nchini kote. Kaulimbiu ya mwaka huu, "Kufanya Kenya Kuwa Kirafiki kwa hedhi," inasisitiza umuhimu wa kuhakikisha kila mwanamke na msichana wanaweza kudhibiti hedhi kwa heshima na usalama.  Kulingana na Mary Muthoni Muriuki, Katibu Mkuu wa idara ya serikali ya Afya ya Umma na Viwango vya Kitaalamu katika Wizara ya Afya, changamoto zinaendelea, na kuhitaji msaada endelevu na juhudi za kuboresha.  Kenya ilizindua Sera yake ya Usimamizi wa Usafi wa Hedhi (...

Glacoma

Picha
  Kulingana na takwimu kutoka kwa tafiti za idadi ya watu (PBS) glakoma ugonjwa unaosababisha upofu.inakisiwa kuwa 8% ya upofu kati ya watu milioni 39 ambao ni vipofu ulimwenguni kote unatokana na maambukizi ya ugonjwa huu wa macho.  Hakuna tiba ya glakoma, lakini utambuzi wa mapema na matibabu inaweza kuhifadhi afya ya macho na kuzuia upofu. Miongoni mwa watu weusi na Wahispania, glakoma ni sababu kuu ya upofu usioweza kurekebishwa kama wanavyodokeza watafiti Gupta na amp.     Paul David Hewson, anajulikana kama Bono ndiye mtu maarufu ambaye anayeishi na glaucoma na ambaye anatambuliwa na vivuli vyake vya alama ya biashara. Amekuwa katika tasnia ya burudani kwa muda mrefu pia amepokea tuzo nyingi za Grammy na kutambuliwa kwingine kwa kazi yake ya uhisani. Yeye amekuwa akiugua glakoma kwa zaidi ya miaka 20. Mnamo 2015, alianza hisani au mradi   yamiaka mitano ambao ni moja wapo wa mpango wa kukusanya fedha zinazolenga kusaidia kuzuia matatizo ya kuona na upo...