siku ya usafi na hedhi Kenya
Wasichana na akina mama wengi nchini Kenya wanakubwa na changamoto ya kupata taulo za hedhi huku wakijihuzisha na ngono ili kupata hela la kununua vifaa vya kustili walati wa hedhi.Kufuatia matumishi ya vifaa visivyo safi wengi wameambukishwa magonjwa huku wakiadhirika kiafya hasa afya ya uzazi.Hiii imepelekea mashirika tofauti kutafuta mbinu ya kukabiliana na hali hii. Siku ya Usafi wa Hedhi inapoadhimishwa duniani kote, Wizara ya Afya nchini Kenya inathibitisha dhamira yake ya kuimarisha afya ya hedhi na usafi nchini kote. Kaulimbiu ya mwaka huu, "Kufanya Kenya Kuwa Kirafiki kwa hedhi," inasisitiza umuhimu wa kuhakikisha kila mwanamke na msichana wanaweza kudhibiti hedhi kwa heshima na usalama. Kulingana na Mary Muthoni Muriuki, Katibu Mkuu wa idara ya serikali ya Afya ya Umma na Viwango vya Kitaalamu katika Wizara ya Afya, changamoto zinaendelea, na kuhitaji msaada endelevu na juhudi za kuboresha. Kenya ilizindua Sera yake ya Usimamizi wa Usafi wa Hedhi (...