Saratani Saratani...saratani nenda zako ...tuachie afya zetu!!!

Mwandishi wa Shirika la utangazaji la Uingereza ( BBC) Anne Waithera Ameaga dunia.
Hii leo nina husuni tele ninapoandika kuhusu kifo cha rafiki na wandishi menzangu Anne Waithera.
Waithera alikuwa mtangazanji katika shirika la utangazaji la BBC ambaye pia alipenda sana kuandika kuhusu maswala ya afya.
Ann amekuwa akiugua saratani.
Katika enzi za uhai wake alifanya kazi na kituo cha habari cha Royal Media Services Citize,Nation Media Group.
Aliwahikutunukiwa zawadi katika nyanja ya afya na mazingira na mashirika tofauti ikiwemo Internews.
Mola ailaze roho yake mahari pema peponi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni