Jerry Okungu afariki




Ugonjwa hatari wa saratani umetupokonya mwandishi mashuhuriJerry Okungu.
Okungu  alifariki  katika hospitali ya MP Shah,Nairobi alipokuwa akipokea matibabu.
Alikuwa akiugua saratani ya tezi kibofu,
.
Mola ailaze roho yake mahari pema peponi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Global Health Leaders Rally in Bogotá to Tackle Reproductive Health Gaps

Unsafe Abortion