Kifaa
cha tiba Saratani ya shingo ya uzazi
Katika
shughuli za kila siku ubunifu na utumiaji wa teknologia za kisasa ni masawala yanayobatana,hasa
katika sekta ya afya.
Ni
hakika kuwa ugonjwa au maradhi tofauti
kugunduliwa mwilini mwa mwanadamu au wanyama na viumbe vingine , technogojia
sharti itumiwe.
Kufuatia
ongezeko la idadi ya wanaougua ugonjwa wa saratani,watafiti wa afya wamebuni
mbinu kabambe za kukabiliana na ugonjwa huu.
Watafiti
wawili kutoka Israeli,Ariel Beery na
David levitz wameunda kifaa ambacho kina uwezo wakugundua saratani ya shingo ya uzazi .
Kifaa
hiki kinatumia simu ya mkononi na matokeo yake ni kamili na yanayotokea papo
hapo.Hii ikiwa nafasi mwafaka ya kuanzisha matibabu ya mara moja.
Muuguzi
anatumia simu kunasa picha kwenye sehemu ya uzazi na kuhifadhi matokeo ya moja
kwa moja.
Kifaa
hiki kijulikanacho kama Colposcope
kimefanyiwa jaribio nchini Kenya mwezi julai katika kongamano la uzazi
lililoadaliwa na mama wa taifa bi Margaret Kenyatta.
Waunguzi
waliotumia hiki kifaa wanasema kuwa ni rahisi kukitumia na matokeo yake ni
kamili na ya hapo papo.
Mamia
ya akina mama waliojitokeza kwa uchunguzi wa saratani walijua hali zao za
kiafya moja kwa moja baada ya uchunguzi.
Watafiti
wanasema kuwa hii ni hatua muhimu ya kugundua na kutibu kama iliyo kauli ya shirika
la afya duniani (WHO).
Kwa
matokeo bora,kifaa hakihitaji kuguza mwili wa mgonjwa,kinafaa kuwa inchi 3-6 .
Utafiti
uathibitisha kuwa uchunguzi usiofikiwa kiwango kinachohitajia au uchunguzi duni
na kutafuta matibabu kuchelewa ni baadhi tu ya sababu zinazo changia kuongezeka
kwa maradhi ya saratani.
Wataalamu
wa afya wanasema kuwa virusi ya human papilloma
vinachangia au kusambabisha
maabukizi ya saratani ya kizazi.
Saratani
inakidhiri barani afrika huku takwimu za shirika la afya duniani likionyehsa
kuwa nusu bilioni ya visa vilipotiwa mwaka wa 2012 duniani,huku kisa kimoja kwa
tano vikiwa afrika
Daktari
David Makumi ambaye ni mwenyekiti wa shirika la saratani nchini Kenya asahimiza
watu kupima hali zao za afya mara kwa mara ,ilikuepuka kusambaa kwa magonjwa hasa saratani.
Asema
kuwa saratani inaweka kutibiwa kwa rahisi na haraka inapogunduliwa mapewa kama ugojwa mwingine wowote.
Our concept of a total solution system begins with the complete understanding of our customer's requirements, supplying the best solution and providing quality after sales service support.
JibuFuta___________________
Hysteroscopy Pump | Colposcope
B`ORZE is a firm beliver of active service, means more than just repairs. Rely on the long years of experience and high qualification of our service personnel, It goes without saying that B`ORZE services is certified and guaranteed every time.
JibuFutaThe experts from B`ORZE in New York offer a program of service courses and customer support which provide systematic care, maintenance and repairs of all products to B`ORZE distributors free of cost.
B`ORZE recommends preventive maintenance check up with precautionary measures which guarantees long term functioning and maintaining the value of your products. Use of proper earthing and cleaning immediately after use is recommended.
Most importantly, we ensure that you get the most out of B`ORZE system from start to finish with the right services at the right time toproactively address your needs.
Colposcope