Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2020

Pierre Buyoya afariki

 Aliyekuwa Rais was Burundi Pierre Buyoya afariki ncini Ufaransa. Kulingana n'a binamuye, kiongozi huyo aliyetawala Burundi kwa kiimla alifiki baada ya kuugua maradhi ya COVID-19..

chanjo ya Corona kwa wanafunzi

Picha
CHANJO DHIDI YA COVID -19 Tangu virusi vya Corona kutangazwa  kama janga la ulimwengu,sekta nyingi zimeadhirika hususan ile ya elimu.  Watoto wanaostahili kuwa shuleni wamelazimika kusalia nyumbani huku serikali ikitafuka mbinu za kuhakikisha masomo yemerejelewa bila kuhatarisha Maisha ya Watoto.  Nchini Kenya hatua mwafaka tayari zimeafikiwa kuhakikisha kuwa baadhi ya wanafunzi wamerejea shuleni huku wakihakikisha masharti ya kukabiliana  na Virusi ya Corona inapewa kipao mbele.  Isistoshe,kuna haja  ya kuwachanja Watoto Pamoja na waalimu punde tu chanjo zitakapofika kwenye nchi mbalimbali duniani.  Kulingana na taarifa za  shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia  Watoto,  UNICEF  chanjo dhidi ya COVID- 19 itakuwa hatua muhimu ya kurejesha hali ya masomo katika mstari wa kwanza. Bi. Henrietta Fore,  Mkurugenzi Mtendaji wa  UNICEF anasema huku ugonjwa wa COVID-19 ukifika kilele na kupelekea shule kufungwa ,sekta...

Nyangarama Afariki Dunia-COVID

Picha
  Gavana Wa Jimbo La Nyamira Aaga Dunia Gavana wa Kauti ya Nyamira John Obiero Nyagarama afariki dunia. Nyagarama amekuwa akipokea matibabu katika Nairobi hospital iliyoko jijini Nairobi,kwa takriban mwezi mmoja. Inasemekana Gavana Nyagarama alikuwa anaugua ugonjwa wa COVID-19. Kulinagana na familia yake,alikuwa na matatizo ya kupumua baada ya mapafu yake kushindwa kufanya kazi. Hata hivyo, Nyangarama amekuwa na matatizo ya kiafya ila familia yake imesita kusema alichokuwa anaungua . Zaidi ya hayo, alisifika kwa kufanya miradi ya maendeleo kwenye kauti ya Nyamira, na pia kuwahimiza wakaazi umuhimu wa kujizuia kuambukizwa virusi vya Corona. Pia , alikuwa mkulima Hodari has awa zao la chai.Alifanya kazi katika sekta ya kilimo hususan majani chai na kupanda ngazi kwa kasi hasi akawa   Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chai nchini kwa muda mrefu. Hapo awali alifunza katika shule mbalimabli baada ya kufuzu kama mwalimu katika Chuo Kikuu cha Nairobi.Hadi kifo chake alikuw...