Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2025

endometrial cancer-Saratani ya uterazi

Picha
Saratani ya shingo ya  uzazi bado ndiyo aina ya kansa ya uzazi inayoshababisha maafa ya akina mama z aidi nchini Kenya . Takwimu kutoka Kenya Cancer Registry zinaonyesha kwamba zaidi ya wanawake 5,200 hugunduliwa kuwa na saratani ta Uterine  kila mwaka, na hiyo ni karibu asilimia 20 ya wanawake wote wanaopata ugonjwa huo . Ina sikitisha kuwa zaidi ya wanawake 3,200 hufa kila mwaka, hii ikiwa sababu   kuu ya idadi kubwa ya vifo vinavyohusiana na saratani miongoni mwa wanawake, ya pili   baada ya kansa ya matiti inayoongaza. Kulingana na w ataalamu wa afya saratani ya shingo ya   uzazi inaweza kuzuiwa k wa uchunguzi wa kawaida na chanjo ya HPV , hii in aweza kupunguza visa vingi vya magonjwa haya, anasema Dk. Gladys Mugambi , afisa mwandamizi wa Wizara ya Afya . Mugambi anasema shughuli ya kutafuta chanjo na wagonjwa   bado ni ya chini sana, hasa katika maeneo ya vijijini.   kechelewa kutafuta tiba Mojawapo ya changamoto kubwa za Kenya ni ku...

MPOX nchini Kenya

Picha
Wakati Wizara ya Afya ya Kenya ilipothibitisha visa vya kwanza vya maradhi ya mpox , iliyokuwa ikijulikana kama monkeypox mwezi Julai 2024, watu wengi hapa nchini walishanga kwa sababu ,hawakuwa na Habari kuhusu ugonjwa huo   ambao ,unasemekana kuenea katika Afrika ya Kati . Kwa vyovyote vile, ugonjwa wa Mpox. Wakenya wafikiri huu mi ugonjwa wan Ndui au smallpox ambao uliangamizwa ulimwenguni pote mwaka wa 1980 .Isitoshe,   kumekuwa na hofu huku wengi wakishagaa   kwa nini tunasikia kuhusu virusi vya ndui tena? Ukweli ni kwamba mpox imekuwapo kwa miongo mingi, lakini hadi hivi majuzi ilionekana hasa katika Afrika ya Kati na ya Magharibi. Kwa sas visa vya ugonjwa huo vimeripotiwa katika nchi kadhaa za Afrika Mashariki hususani Kenya . Mpox hu enea vipi ? Mpox husababishwa na virusi vya familia   ya ndui au smallpox . Inasambazwa kupitia ma husiano ya karibu   yaani ngozi kwa ngozi, umajimaji wa mwili, nyuso zilizochafuliwa, na wakati mwingi...