Flibanserin Tembe ya kusisimua mapenzi Wanawake kupungukiwa na nguvu na hamu ya kufanya mapenzi imekuwa ni jambo ambalo halizungumziwi kila mahali kwani akina mama wengi wanaliona la aibu. Lakini wataalamu wa maswala la afya ya akina mama wanaliona swala la kawaida ambalo linaweza kurekebishwa kwa matibabu. Lakini habari njema ni kuwa vidonge vya kuwaimarishia wanawake hamu au hisia za kitendo cha ngono imeidhinishwa.Hii ni afueni ambayo itaondoa aibu au kufujika kwa ndoa kutokana na kutoridhisha waume wao. Wataalamu wa afya wanasisitisha kuwa kuna tofauti ya tembe hizi na zile za kiume za Viagra . Shirika moja la Amerika la kuidhinisha na kusimamia dawa liliidhinisha tembe za Flibanserin kutumiwa kusisimua akina mama kimapenzi baada ya kufanya utafiti na kupata kuwa tembe hizi ni salama. Ingawa madaktari wanasema kunatofauti kubwa kati ya tembe hizi na zile za kiume ,wakenya wanasitaja kama Viagra ya wanawake. Wanawake wanaopata hed...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2015
Kenyatta hospital Radiotherapy machine(Cancer)
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Hitilafu ya mashine ya miyale ya umeme (Radio therapy machine) Mashine inayotumia miyale ya umeme kutoa matibabu ya saratani na hali duni ya vifaa hivyo katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta yatishia maisha ya wagonjwa wa saratani nchini. Imekuwa ni hali yakughadhamisha katika hospitali kuu ya kenyatta hapa jijini Nairobi wakati wagojwa wa saratani wanapofika kwa matibabu lakini wanakabiliana na hali ngumu kufuatia upungufu au kuharibika kwa mashine za matibabu mara kwa mara. Kufuatia hali hii wagonjwa wengi wasio na uwezo wa kutafuta matibabu kwingineko ,huteseka na hali zao kudhoofika wasijue la kufanya. Gharama ya matibabu katika hospitali hii ya umma ni nafuu ikilinganishwa na hospitali za kibinafsi. Hata hivyo hospitali ya Kenyatta kupitia wakuu wake wametafuta matibabu hayo katika hosptali za binafsi kwa wagonjwa wanaohitaji matibabu ya dhalura.Lakini swali ni je hali hii inaendelea hadi lini? Hii si mara ya kwanza au ya pili kw...
Flibanserin -Tembe ya kusisimua mapenzi
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
jambo la kutosisimuka kwa kimapenzi uwa ni jambo ambalo halizungumziwi kila mahali kwani akina mama wengi wanaliona la aibu. Lakini wataalamu wa maswala Flibanserin Tembe ya kusisimua mapenzi Wanawake kupungukiwa na nguvu na hamu ya kufanya mapenzi imek la afya ya akina mama wanaliona swala la kawaida ambalo linaweza kurekebishwa kwa matibabu. Lakini habari njema ni kuwa vidonge vya kuwaimarishia wanawake hamu au hisia za kitendo cha ngono imeidhinishwa.Hii ni afueni ambayo itaondoa aibu au kufujika kwa ndoa kutokana na kutoridhisha waume wao. Wataalamu wa afya wanasisitisha kuwa kuna tofauti ya tembe hizi na zile za kiume za Viagra . Shirika moja la Amerika la kuidhinisha na kusimamia dawa liliidhinisha tembe za Flibanserin kutumiwa kusisimua akina mama kimapenzi baada ya kufanya utafiti na kupata kuwa tembe hizi ni salama. Ingawa madaktari wanasema kunatofauti kubwa kati ya tembe hizi na zile za kiume ,wakenya wanasitaja kama Viagra ya wa...