AIDS CONFERENCE DURBAN 2016
Kongamano la tano la kimataifa kuhusu ukimwi kuanza Afrika Kusini
Kongamano kuhusu ukimwi liaanza mjini Durban, Afrika Kusini. Mkutano huo wa siku tatu unawaleta pamoja wajumbe na wataalam kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Mkutano huo unafanyika wakati ambapo selikali ya Kenya imejitahidi kukabiliana na makali yake.
Siku chake zilizopita, wizara ya afya Kenya, ilianzisha sera na kampeini ambayo itawasaidia wanaougua na wanaofahamu hali yao ya HIV kupata tiba mara moja.Kampeini inayo ;anza sasa pia itawezesha watoto wanaozaliwa na virusi vya HIV kuanza matibabu mara moja.

Lakutia moyo ni kwamba idadi ya maabukizi nchini Kenya imepungua,huku Afrika kusini hasa Durban ambapo mkutano huu unafanyika hali ikiwa sio nzuri.
Zaidi ya hayo,Utafiti unaonyesha watu milioni 40 ulimwenguni walioambukizwa virusi vya ukimwi wanatokea barani Afrika.
Serikali ya kenya imetenga shilingi bilioni 22 kupambana na janga hili la Ukimwi huku shilingi 15,000 zikitengwa kwa kila mgonjwa ili kumwezesha kupata dawa za ARV.
Hii ni binu mwafaka kwani hali ya kimaisha kwa waadhirirwa itaimarika maradhufu.
Hivyo basi,itakuwa ni jambo la kutia moyo baada ya mkutano wa Capetown kukamilika.
Kongamano kuhusu ukimwi liaanza mjini Durban, Afrika Kusini. Mkutano huo wa siku tatu unawaleta pamoja wajumbe na wataalam kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Mkutano huo unafanyika wakati ambapo selikali ya Kenya imejitahidi kukabiliana na makali yake.
Lengo kuu la mkutano wa Durban ni kutathmni tafiti za kisayansi kuhusu matibabu, dawa na kuzuia kuenea kwa maambukizi ya ukimwi.
Mbali na huduma nzuri zinazotolewa na mataita mengi ili kudhibiti ukimwi,Changamoto ya bado zipo. Unyanyapaa miongoni mwa wagonjwa wengi wa ukimwi, Majibu yanapobainisha wana virusi vya ukimwi; hawajui wafanye nini au waanza vipi kutumbia tembe.Hivyo basi,itakuwa ni jambo la kutia moyo baada ya mkutano wa Capetown kukamilika.
Wataalam na watafiti wa maswala ya afya , mchango wao utazaa matunda katika kuboresha huduma za matibabu na kupata mbinu ya watu wanaoishi na virusi vya HIV na wagonjwa wa ukimwi bila kutengwa.
Kongamano hilo ambali, hufanyika kila baada ya miaka miwili na huwavutia wajumbe takriban 5,000 kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni kote. Wanasayansi, madaktari, watalaam wa afya ya umma na viongozi wa kijamii ni pamoja na wanaohudhuria kongamano hili.
Kongamano la awali lililofanyika Australialilikubwa na husuni na kilio baada ya watafiti wa ukimwi kufariki katika ajali ya ndege.
Maoni
Chapisha Maoni