Uchunguzi wa kifo cha Yasir Arafat watoa majibu nusu.
![]() |
marehemu Arafat wakati akiwa mwenye afya nzuri |
![]() |
marehemu Arafat baada ya kuugua |
Uchunguzi wa kisayansi uliyofanywa kuhusu kifo cha aliyekuwa kiongozi na rais wa Wapalestina umetoa majibu nusu tangu kuanza kwa uchunguzi huo.
Rais Yasir Arafat ambaye alifariki dunia nchini Ufaransa ambapo alipelekwa kwa ajili yamatibabu baada ya kuugua wakati akiwa amefungiwa kutoka katika mji wa Ramallah na serikali Izrael.
Dr Francois Bochud ambaye ni mtaalamu wa Radiophysique iliyopo nchini Switzerland alisema " naweza kusema tumekuta aina ya gesi inayo julikana kama polonium-210 ambayo inaweza kuwa chanzo ca kifo chake na tunaweza kupata jibu sahihi ikiwa baadhi ya viungo vya marehemu Yasir Arafat vitapatikana kwa uchunguzi zaidi."
Uchunguzi wa kifo cha Yasir Arafat ulikuja baada ya mkewe Suha Arafat kuruhusu uchunguzi kuendelea na kutoa ruhusa ya kuwa mwili wa Yasir Araf ufukuliwe kwa uchunguzi zaidi na kuiomba serikali ya Wapalestina kushirikiana naye.
Wasifu wa arafat
Alikuwa kiongozi shupavu wa Palestina aliyeenziwa na wale alioongoza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni