Ni muhimu kudumisha usafi kinywani.Kusungua meno baada ya kula ilikuepikana na magonjwa kama vile Saratani ya mdomo.saratani hii husambaa kinywani kwenye ulimi na koromeo.Ugonjwa huu huchukua muda mrefu kabla kutambuli.Wanaovuta sigara,kuvuta tumbako au kunywa pombe wamo hatarini mwa kupata saratani ya mdomo.
Saratani ya mdomo ina inaweza kutibiwa unaweza kitibiwa ukiwahiwa mapema.
Ishara ya saratani yam domo ni kama zifuatazo;
- Uvimbe sehemu yoyote mdomoni, ambao hauponi kutokuwa na damu kwa urahisi.
- Kufa ganzi mdomoni.
- Kuhisi uchungu unapo tafuna, kumeza chakula ulimi unapotumika.
- Kubadilika kwa sauti.
- Kuumwa na sikio.
- Koo linalowasha bila kupona.
pamoja tuangamize saratani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni