Ijumaa, 9 Oktoba 2015

Janet Kanini Ikua lung cancer





MTANGAZAJI AUGUA SARATANI


Mtangazaji Janet Kanini Ikua amegunduliwa kuna anaigua saratani ya mapafu.

Kanini alisema kupitia mtandao kuwa ako nchini India ambako anaendelea kupokea matibabu.


Hapo awali Kanini alikuwa pia alipatikana na ugonjwa wa damu kuganda kwenye misipa inayopeleka damu kwenye roho.
Image result for kanini ikua
Kiinim chake hasa kuzuru India ilikuwa ni kupokea matibabu ya ugonjwa huo ujulikanao kwa kimombo kama Deep Vein Thrombosis.

Dalili ya ugonjwa huu ni kufura miguu na pia kuwa na uchungu miguuni unaomfanya mgonjwa kuwa na matatizo ya kutembea.

Daktari wake aliyemtaja kama wakutajika nchini India amemhakikishia kuwa akiendelea na matibabu kwa muda wa miezi sita au zaidi atapona,ingawa unaweza ukarudi.
Kwa sasa anapokea matibabu kuhakikisha damu iliyoganda haifiki kwenye roho au moyo ambazo ni viungo muhimu  sana mwilini.

deep vein thrombosis,
deep vein thrombosis,


deep vein thrombosis,

Hata baada ya hali yake hiyo Kanini alisema anahakika kuwa Mola atamponya na atarejea nyumbani Kenya baada ya matibabu.


ALISEMA nia ya kusema kuhusu hali yake ilikuwa kuwapa motisha wengi wanaopitia hali kama hiyo ili wasife moyo na waendelee na kutafuta matibabu bila wasiwasi.

Kulingana na takwimu za shirika la afya ulimwenguni WHO idadi ya wanaougua ugonjwa wa saratani unaendelea kuongezeka.


Ingawa ugomjwa huu ni baadhi ya maradhi hatari ,inatibiwa na mgonjwa akapona,mradi atafute tiba mapema.


Kwa upande wa Kanini matibabu yanachukuwa muda.Pia gharama ya matibabu  nchini India gharama ni nafuu ikilinganishwa na nchini Kenya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni