Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2016
Picha
Masaibu ya wagonjwa katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki Mama Lucy Kibaki hospitali iliyoko Embakasi imegonga vyombo vya habari kwa sababu za kuhuzunisha. Huduma duni za matibabu,ufisadi ni baadhi ya madai yanayotolewa na wagonjwa ambao wameadhirikakwa njia moja au nyingine. Visa vya wagonjwa kutohudumiwa ipasavyo na madai ya ukosefu wa vifaa vya matibabu vinahusunisha. Kisa cha kustajabisha ni kuwa madaktari walimwacha mama mja mzito bila kuhudumiwa kwa muda hadi wanawe mapacha kufia kwenye kizazi. Imedaiwa kuwa mtoto aliyekuwa na majeraha ya ajari aliruhusiwa kwenda nyumbani hata kabla ya uchunguzi wa kina kuhakikisha kuwa maisha yake hayakuwa hatarini Mamake mtoto anasema mwanawe aliaga dunia siku oja baada ya kwenda nyumbani. Baadaye daktari katika hospitali hiyo wakamfahamisha kuwa alivuja damu kwa ubongo,kwani alikuwa na majeraha jichoni. Hayo ni baadhi ya masaibu yanayowakuba wagonjwa kwenye Hospitali ambayo ni ya pili kwa ukubwa jijini Nairobi na ya ...

Zika

Picha
Virusi vya Zika vinaenea kwa kasi mno na vinavyosababishwa watoto kuzaliwa na vichwa vidogo. Shirika la BBC limetadhimini hali hii kwa udani. Viunganishi Ruka hadi maelezo Accessibility Help Uongozaji Mshirikishe mwenz   Image copyright AP Image caption Jose Wesley, aliyezaliwa akiwa na ugonjwa wa microcephaly, alala ndani ya chandarua cha kuzuia mbu Virusi vya Zika vinaenea Amerika kwa kasi ya kuogofya. Katika mataifa 20, ambapo virusi hivyo vinaaminika kuchangia kuzaliwa kwa watoto wenye vichwa vidogo, na hasa Brazil, tahadhari imetolewa. Ni mlipuko wa maradhi ambao unaendelea, na Dkt Anthony Fauci, ambaye ni mtaalamu wa maradhi ya kuambukiza katika Taasisi ya Taifa ya Afya Marekani. Kuenea huku kwa kasi kwa virusi vya Zika ndiko kwa karibuni zaidi kati ya magonjwa manne ya virusi yanayoenezwa na mbu mataifa ya Magharibi katika kipindi cha miaka 20, anaandika Dkt Fauci kwenye makala katika jarida la kimatibabu lathe New England Journa...