Dr Umar Khan afariki



Daktari mashuhuri wa ebola amefariki.

Dk. Sheik Umar Khan   Alijitolea  mhanga kuwatibu  walio ambukizwa  Virusi vya ebola.
Hata hivyo ajari haina kinga katika harakati ya kuhakikisha kuwa amewatibu wagonjwa, alipata Virusi vya ebola wiki moja iliyopita.

Hivi majuzi kwenye mahojiano na wana Habari, Dk.Umar alisema yeye kama mwanadamu yeyote anathamini uhai na alihofia uhai wake lakini hangeacha kutekelezwa wajibu wake.
Mola ailaze roho yake mahali pema peponi.


Idadi ya vifo nchini Guinea, Sierra Leone na Liberia Inakisiwa kuwa 672 kutoka Februali mwaka huu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Global Health Leaders Rally in Bogotá to Tackle Reproductive Health Gaps

Unsafe Abortion