Kungatwa na nyoka na adhari zake
Jane nduku ni mkaazi wa Kitui na ameadhirika na
kuuguza majeruhi ya kungatwa na nyoka mwenye sumu.Anasema nyoka alimungata
usiku alipokuwa amelala na ni kwa kudra zake mola ako hai leo.
Sio wengi wamekuwa na baahati kama nduku kwani
wengi hufariki hata kabla ya kufika hospitalini.
Kulingana na shirika la afya duniani, bara la Afrika na Asia ni moja wapo wa bara ambazo zimeadhirika Zaidi.Huku juhudi za kutafuta mbinu na tafiti za kutafuta kinga zikiendelea.
Muadhiriwa anapofika hospitalini hulazimika
kueleza au kupeleka nyoka aliyemungata ili kupata tiba ya anti venom jambo
ambalo si rahisi mgonjwa aliye na maumivu ,majeraha na anayevunja damu kukubuka
kupereka nyoka.
Dawa pia zafaa kufanyiwa majaribio
ili kuhakikisaha kuwa kila nyoka ana tiba yake.
Nyoka wa sumu hupatikana sana barani Afrika na Asia sehemu za joto kwa wingi.
Kujiepusha na kukumbana na nyoka ni vema kuacha maji nje ya
nyumba na pia kuwa waangalifu watua wanapoenda shambani endapo hii wkati mwingine
ni ngumu kufanyika kwani nyoka anajificha na kuvamia kwa ghafla.Nchini Kenya ,maeneo ya Kitui, baringo ,pokot Magharibi na Turkana yameathirika zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni