Jumapili, 15 Machi 2020

Coronavirusi Ongata Rongai

Wakenya wamepokea tangazo  la mlipuko was virusi Corona cha Kwanza mtaani Ongata Rongai, Jimbo la Kajiado kwa hofu .

Kufuatia hali hii Wakenya wengi hasa wa Ongata Rongai wamebakia nyumbani hii wikendi  wakihofia maambukizi.

Maadhi ya shule na pia vyuo vikuu vimetoa taarifa kuwataka wanafunzi kubaki nyumbani, hadi Hali iwe sawa.

Jumapili kama kawaida kanisa huwa zimefurika lakini Hali imekuwa tofauti.
Wengi wameamua kufanya maombi nyumbani yote haya yakiwa kuepuka maambukizi ya virusi vya Covid 19.

Ugonjwa huu uenea kwa kasi kwenye mataifa tofauti ulimwenguni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni