
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe, mwadhiriwa amefariki Leo katika hospitali ya Agah Khan alipokuwa akipokea matibabu.
Idadi ya wanaougua Ugonjwa wa Corona yazidi kuongezeka, huku serikali ikitoa makataa yakutotoka nje kutoka alasiri hadi machweo kuanzia hapo kesho, Ijumaa.
Zaidi ya hayo, Kenya ina maambukizi zaidi ya watu 30.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni