Mgonjwa huyu ni mwanamke raia wa Tanzania aliye na umri wa miaka
46.
Aliwasiri kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la Rwanda
ambaye aliwasiri aliyetangazwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa
Tanzania, ambaye aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la Rwanda.
Mtanzania huyo ambaye kwa sasa anapokea matibabu kwenye
hospitali ta Rufaa ya Mt Meru Arusha,alitembelea nchi tofauti katika ziara yake
huko Uraya.
Alizuru Denmark,Sweden na Ubelgiji na kurejea nchini ,ingawa
maabukizi ya Corona hayakuguduliwa alipowasiri nchini Tanzania.
Baada ya muda,alianza kujihisi vibaya na kwenda hospitalini
ambapo sampuli ilichukuliwa na baadaye
ikapelekwa kwa maabara ya kitaifa jiji Dar es salaam kwa uchunguzi.
Kulinga na Waziri wa Afya Tanzania Ummy Mwalimu vipimo vya
maabara virithibitisha kuwa mgonjwa huyo ana maambukizi ya virusi vya COVID-19
na kwa sasa anaendelea kupokea matibabu.
Waziri amesema kuwa serikali ya Tanzania imechukua hatua mwafaka
kuhakikisha kuwa ugonjwa huu umekabiliwa.
"Vipimo vya maabara vimethibitisha kuwa mtu huyo ana
maambukizi ya ugonjwa wa corona, covid -19, Mgonjwa anaendelea vizuri na
matibabu." Waziri Ummy ameongeza kusema," Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha kwamba ugonjwa huu unathibitiwa ili usisambae nchini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni