Jumanne, 21 Aprili 2020

Corona Virusi jikinge



Upuka maambukizi ya Corona;fuata masharti au maagizo

Tangu mlipuko wa virusi vya Corona kutangangwa kimekuwa na mijadala na maoni tofauti dhidi ya kijikinga na virusi.

Wataalamu wa afya wako kwenye harakati za kutafuta kinga ya maradhi haya huku Shirika la Afya Duniani likionya dhidi ya Imani potuvu kuhusu tiba ya corona inayotolewa na baadhi ya  watu.

Baadhi ya dhana za kupotosha kuhusu tiba ya COVID -19

  • ·         Kunywa vileo
  • ·         Kunywa chai ya rangi
  • ·         Kuoga maji moto
  • ·         Kukaa kwenye jua
  • ·         Ulaji wa vitunguu saumi na timu
  • ·         Mbu inaambukiza virusi vya Corona 


  • Hizi ni dhana potofu ambazo hazina ukweli wowote.


Hivyo basi, ni muhumu kuhakikisha :
  • ·         Nawa mikono mara kwa mara au tumia kitakasa mikono
  • ·         Funika mdomo na pua unapopiga chafya
  • ·         Usikaribiane na watu wala usiwe kwenye mkusanyiko wa watu
  • ·         Usisalimu kwa mikono
  • ·         Vaa barakoa
  • ·         Kaa nyumbani

Ukiwa na dalili zifuatazo ni muhimu kupata ushauri wa daktari haraka …
Dalili
  • ·         Homa
  • ·         Kukohoa
  • ·         Ugumu wa kupumua
  • ·         Maumivu mwilini
  • ·         Kuumwa na kichwa



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni