Ken Walibora ameaga dunia.
Inadaiwa mwanahabari/mtangazaji
alipatikana katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali kuu ya
Kenyatta.
Marehemu aligongwa na gari katika barabara ya Ladhies na gari la usafiri
wa umma siku ya Ijumaa.
Hakika Walibora alitukuza kiswahili....
Walibora amechangia katika maendeleo ya
Lugha hasa ya Kiswahili kwa kuandika vitabu kama vile Siku Njema na Kidagaa
kimemwozea,Ndoto Ya Amerika ,nasikia sauti ya mama,Ndoto ya Almasi ,Kufa Kusikana na vingine vya kimombo.
Zaidi ya hayo,Walibora alifanya kazi na kampuni ya Utangazaji ya Nation kama mhariri wa kitengo cha kiswahili.
Baadaye alisafiri hadi Marekani alipokuwa mhadhiri wa lugha ya afrika.
Zaidi ya hayo,Walibora alifanya kazi na kampuni ya Utangazaji ya Nation kama mhariri wa kitengo cha kiswahili.
Baadaye alisafiri hadi Marekani alipokuwa mhadhiri wa lugha ya afrika.
Mola amlaze pema peponi ustadh,malenga Walibora
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni